|
Highlighted Show chord diagrams
Standard Tuning Belle 9 - Sumu ya Penzi (Chords) by J-Ryder790 Intro Cm, Fm, D#, A# (also throughout the song) Ohhh Ohhh, yeahh ehhh yeahh Verse 1 Cm Fm D# A# Penzi ni kitu ambacho kinaweza kukupa furaha maishani mwako Cm Fm D# A# Vilevile penzi linaweza kukupa huzuni milele moyoni mwako Cm Fm D# A# Ukashindwa kuelewani na ndugu, rafiki hata na wazazi wako Cm Fm D# A# Utakosa raha ya maisha, hata kama una pesa Cm Fm D# A# Vitalala viungo vyako, kimawazo utakesha Cm Fm D# A# Utakosa raha ya maisha, hata kama una pesa Cm Fm D# A# Vitalala viungo vyako, kimawazo utakesha Chorus Cm Fm Sumu ya penzi ukishailamba D# A# Hata kwa maziwa huwezi kupona Cm Fm Sumu ya penzi ukishailamba D# A# Hata kwa maziwa huwezi kupona Cm Fm Sio kwamba mi nakukataa D# A# Ila moyo wangu unasita (moyo unasita) Cm Fm Wazazi wangu watanishangaa D# A# Nyumbani wewe ulishatoroka (ulishatoroka) Cm Fm Sio kwamba mi nakukataa D# A# Ila moyo wangu unasita Cm Fm Wazazi wangu watanishangaa D# A# Nyumbani wewe ulishatoroka [ Tab from: http://www.guitaretab.com/m/misc-unsigned-bands/319947.html ] Verse 2 Cm Fm D# A# Ulinimwaga kama mchele, kuku wanidonoe (mimi) Cm Fm D# A# Ukanifunga mpaka kitanzi, nani aniokoe (porini) Cm Fm D# A# Ulinimwaga kama mchele, kuku wanidonoe (mimi) Cm Fm D# A# Ukanifunga mpaka kitanzi, nani aniokoe (porini) Cm Fm Laiti ningejua kuna dawa ya mapenzi D# A# Ningejifunga nisipende Cm Fm Maana mapenzi kwangu yamekuwa shubiri D# A# Kwa wenzagu mitende Cm Fm Laiti ningejua kuna dawa ya mapenzi D# A# Ningejifunga nisipende Cm Fm Maana mapenzi kwangu yamekuwa shubiri D# A# Kwa wenzagu mitende (yeahh) Chorus Bridge Cm Fm Mi sihitaji mapenzi na wee D# A# Mi sitaki mapenzi na wee Cm Fm Ohh baby naomba unielewe D# A# Mi sitaki mapenzi (sihitaji) na wee Cm Fm D# A# Nachoweza kusema, sihitaji mapenzi na wee Cm Fm D# A# Nachoweza kusema, sihitaji mapenzi na wee Cm Fm D# A# Nachoweza kusema, sihitaji mapenzi na wee Cm Fm D# A# Mapenzi na wee (ihhh ihhh) Cm Fm Sio kwamba mi nakukataa (mi nakukataa) D# A# Ila moyo wangu unasita (moyo unasita) Cm Fm Wazazi wangu watanishanga (watanishanga) D# A# Nyumbani wewe ulishatoroka (ulishatoroka) Cm Fm Sio kwamba mi nakukataa (ohh ohh) D# A# Ila moyo wangu unasita (ohh ohh) Cm Fm Wazazi wangu watanishangaa (ohh ohh) D# A# Nyumbani wewe ulishatoroka (ohh ohh) Outro Cm Fm D# A# Sio kwamba mi nakukataa aahh (mimi) Cm Fm D# A# Wazazi wangu watanishanga aahh (mimi) Cm Fm D# A# Sio kwamba mi nakukataa ahhh (ihhh ihh) Cm Fm D# A# Wazazi wangu watanishanga ahhh (yeahh) C#, Fm D# A# Belle 9, rocka Tz records C#, Fm D# A# Niko na Triss |