|
Highlighted Show chord diagrams
Verse 1 Em D C G Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Em D C G Sasa mie nauliza nianze wapi eeeh Em D C G Maumivu machozi mengi yameniumiza aheeheee Em D C G Jehovah nahisi nalia nihurumie nipeee Chorus Em D C G Uwezoo Uwezooo Em D C G Wa kusimama imara juu ya neno lako eeh Em D C G Uwezoo Uwezooo Em D C G Wa kusimama imara juu ya neno lako eeh [ Tab from: http://www.guitaretab.com/m/misc-unsigned-bands/311654.html ]
|