|
Highlighted Show chord diagrams
http://www.kidum.page.tl/Home.htm Standard Tuning Kidum feat. Lady Jaydee - Nitafanya (chords) by tabbed J-Ryder790 Intro G#m, G#m, B, F# x3 E Verse 1 (Kidum) C#m G#m B F# Ikiwa umeamua kunitoroka C#m G#m B F# Ikiwa unahisi kwamba hujiskii nami tena C#m G#m B F# Na mbona imekuwa ngumu kunidokeza C#m G#m B F# Naona ni bora nilie leo, badala ya kesho C#m G#m B F# Kupendwa, usipendwe ni kama kujitia kitanzi C#m G#m B F# Nitachimba na sururu kwa ardhi, nikitafuta penzi lako Pre-Chorus (Kidum) F# E Ni heri nipigwe fimbo kwa mwili F# E Sababu nitajikuna, ama nitajikanda na maji moto C#m B Maumivu ya penzi, mtu hajikuni F# Wala hajikandi na maji E Na hakuna upasuaji (yoii yoo) Chorus G#m B F# E Kama kuna kosa, nimewahi fanya (nieleze) G#m B F# E Kama kuna jinsi, tunaweza leta (mpaka niishi) G#m B F# E Na kama kuna kitendo, linaweza tendwa (nieleze) G#m B F# E Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda G#m B F# E Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda G#m B F# E Nitafanya (nasema), fanya, Nitatenda, tenda G#m B F# E Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda (woohh) Verse 2 (Lady Jaydee) C#m G#m B F# Kweli hukumbuki ulioyafanya C#m G#m B F# Ni kweli unakumbuka tulikotoka C#m G#m B F# Sisemi habari zozote za kusikia C#m G#m B F# Bali kwa ushahidi, niliouona C#m G#m B F# Msamaha mara ngapi? umeshaomba na bado C#m G#m B F# Je, ni makosa mangapi? niliyoyafumbia macho [ Tab from: http://www.guitaretab.com/k/kidum-feat-lady-jaydee/320563.html ] Pre-Chorus (Lady Jaydee) F# E Mpaka leo nahisi kufika kikomo F# E Maumivu yanazidi ndani ya moyo C#m B Sitaki kwenda mbali kwani upo moyoni F# E Nikusamehe mimi mara ngapi wewe? Nieleze mpenzi mara ngapi? Chorus G#m B F# E Unataka, nikusamehe mara ngapi? (usihesabu) G#m B F# E Unapenda nikuvumilie mara ngapi? (hii ni ya mwisho) G#m B F# E Je, wewe nikulilie mara ngapi? (vumilia) G#m B F# E Sitoweza (utaweza wee), Nimechoka (usichoke) G#m B F# E Nimeshindwa (usishindwe), Naondoka (usiondoke mamii) G#m B F# E Sitoweza (sitoweza), Nimechoka (usichoke) G#m B F# E Nimeshindwa (usindindwe), Naondoka leo Bridge (Kidum) C#m B F# Ukihesabu ni mara ngapi umenisamehe C#m B F# C#m Ni kama kuhesabu ni mara ngapi mtoto kaharibu nepi B F# E Usichoke, usiondoke, usilie, niko hapa kukulinda Chorus G#m B F# E Kama kuna kosa, nimewahi fanya (nieleze) G#m B F# E Kama kuna jinsi, tunaweza leta (mpaka niishi) G#m B F# E Na kama kuna kitendo, linaweza tendwa (nieleze) G#m B F# E Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda G#m B F# E Nitado do do do, fanya, Nitafanya, tenda G#m B F# E Nitafanya , fanya, Nitatenda, tenda G#m B F# E Nitado i swear, fanya, Nitafanya, tenda (woohh) G#m B F# E Unataka, nikusamehe mara ngapi? (usihesabu) G#m B F# E Unapenda nikuvumilie mara ngapi? (mara ya mwisho) G#m B F# E Je, wewe nikulilie mara ngapi? (usilie) G#m B F# E Sitoweza (unaweza), Nimechoka (usichoke) G#m B F# E Nimeshindwa (usishindwe), Naondoka (uhh uhh) G#m B F# E Sitoweza (weza), Nimechoka G#m B F# E Nimeshindwa, Naondoka leo Outro ( G#m, B, F#, E ) Usishindwe baby Nitado do do do do |